ACSEE 2026
Muda wa usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kwa Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 umeongezwa kuanzia tarehe 06 Novemba, 2025 hadi tarehe 30 Novemba, 2025. Aidha, ada ya usajili kwa kipindi hiki ni Tsh 65,000.